JAJI MFAWIDHI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA, KITUO CHA USULUHISHI, MHE. JAJI ZAHRA MARUMA
Post Media
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kituo cha Usuluhishi, Mhe. Jaji Zahra Maruma (juu na chini) akiwa kwenye jopo la Majaji Wakuu wakijadili namna bora ya kutatua migogoro kwa njia mbadala (ADR).