Post Details

WATENDAJI WA MAHAKAMA WAJADILI RASIMU YA MWONGOZO WA MPANGO WA RASILIMALI WATU ‘HRPG’

Published By:Mary C. Gwera

Pichani ni sehemu ya Watendaji pamoja na Maafisa wengine wa Mahakama wakiwa katika Mafunzo ya siku tatu (3) ya kujadili rasimu ya Mwongozo wa Mpango wa Rasilimali watu ya Mahakama ya Tanzania. Lengo ni kuwapitisha Watendaji hao katika Mwongozo huo ili kupata maoni na kuiboresha zaidi kabla ya utekelezaji wake kuanza rasmi. Mafunzo hayo yalifunguliwa rasmi na Mtendaji wa Mahakama ya Rufani, Bw. Sollanus Nyimbi, Juni 03, 2019.

Comments (0)

Leave a Comment