Post Details

MAHAKAMA KUIMARISHA MAADILI KWA WATUMISHI WAKE

Published By:Mary C. Gwera

Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Bw. Hussein Kattanga ambaye pia ni Katibu wa Tume ya Utumishi wa Mahakama akizungumza kwenye Warsha ya kujadili Rasimu ya Miongozo ya Mafunzo ya Uendeshaji wa Kamati za Maadili ya Watumishi wa Mahakama iliyofanyika Aprili 30, Kisutu jijini Dar es Salaam.

Comments (0)

Leave a Comment