Post Details

MAJAJI WA MAHAKAMA KUU CHINA WAITEMBELEA MAHAKAMA YA TANZANIA KUJIFUNZA MFUMO WA UTOAJI HAKI NCHINI

Published By:JoT Admin

Msajili Mkuu-Mahakama ya Tanzania, Mhe. Katarina Revocati (aliyeketi mbele) akizungumza na Wahe. Majaji kutoka Mahakama Kuu Zhejiang iliyopo nchini China walipotembelea Ofisi ya Mhe. Msajili Mkuu, Novemba 16, ili kujifunza namna mfumo wa utoaji haki wa Mahakama ya Tanzania unavyofanya kazi na pia kubadilishana uzoefu kuhusu masuala ya utoaji haki na sheria, Mhe. Revocati alizungumza na ugeni huo kwa niaba ya Mhe. Jaji Mkuu wa Tanzania.

Comments (0)

Leave a Comment