Post Details

MAJAJI WAKUU WATANO WA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA WAKUTANA DAR ES SALAAM

Published By:Mary C. Gwera

Pichani ni Majaji Wakuu kutoka nchi tano za Kusini mwa Afrika (Southern African Chief Justice's Forum) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza Mkutano wao.Waliokaa katikati ni Mwenyekiti wa Kongamano hilo ambaye pia ni Jaji Mkuu wa Malawi Mhe. Andrew Nyirenda. Kulia kwake ni Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma na kushoto ni Jaji Mkuu wa Zambia Mhe. Irene Mambilima. Waliosimama kutoka kulia ni Jaji Mkuu wa Namibia Mhe. Peter Shivute akifuatiwa na Jaji Mkuu wa Seychelles Mhe. Mathilda Twomey na wa kwanza kushoto ni Mratibu wa Kongamano hilo Jaji Mhe. Evaristo Pengele.

Comments (0)

Leave a Comment