Post Details

WASAJILI NA WATENDAJI WA MAHAKAMA WAPATIWA NYENZO MUHIMU ZA UTENDAJI KAZI

Published By:Mary C. Gwera

Mafunzo elekezi ya siku tatu (3) kwa Wasajili na Watendaji wa Mahakama kuhusu Utunzaji bora wa kumbukumbu na Nyaraka yaendelea, Mada mbalimbali zatolewa na Wawezeshaji kuimarisha utekelezaji wa majukumu ya Maafisa hao.

Zifuatazo ni picha mbalimbali za matukio ya yanayoendelea kujiri katika Mafunzo hayo yanayofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Mipango jijini Dodoma.

Comments (0)

Leave a Comment