Post Details

MATUKIO KATIKA PICHA MAZISHI YA ALIYEKUWA HAKIMU MKAZI MFAWIDHI-GEITA

Published By:Mary C. Gwera

Aliyekuwa Hakimu mstaafu wa Mkoa wa Geita, Elisha Sabuka alizikwa hivi karibuni katika makaburi ya kijijini kwao Mwingilo, Mkoani Geita, na kuhudhuriwa na watu mbalimbali na baadhi ya viongozi wa Serikali.

Marehemu Sabuka aliyefariki Machi 17, 2021 akiwa nyumbani kwake Bomani,Geita baada ya kuugua ugojwa wa moyo, atakumbukwa kwa uchapaji kazi wake alipokuwa mfanyakazi kwenye mahakama ya Mkoani humo.

 

BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.

Comments (0)

Leave a Comment