Post Details

JAJI MKUU PROF JUMA AMUAPISHA MAMA SAMIA KUWA RAIS WA TANZANIA

Published By:Mary C. Gwera

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akimuapisha Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa awamu ya sita wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 

Mhe. Rais Samia ameapishwa kufuatia kufariki kwa aliyekuwa Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.

Comments (0)

Leave a Comment