Post Details

TANZIA-MTUMISHI WA MAHAKAMA YA MWANZO ZOISSA KONGWA AFARIKI DUNIA

Published By:Mary C. Gwera

TANZIA

Mahakama ya Tanzania inasikitika kutangaza kifo cha Mtumishi wake Bi. Magdalena Thomas Msenga kilichotokea usiku wa kuamkia leo Machi 15, 2021.

Marehemu Magreth alikuwa Msaidizi wa Ofisi katika Mahakama ya Mwanzo Zoissa iliyopo Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma.

Mazishi yanatarajia kufanyika Dar es Salaam Machi 18, 2021.

Mahakama ya Tanzania inaungana na ndugu, jamaa na marafiki katika kipindi cha majonzi cha kuondokewa na mpendwa wao.

BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE.

Comments (0)

Leave a Comment