Post Details

JAJI MSTAAFU WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA MHE. WILLIAM MAINA AMEFARIKI DUNIA

Published By:LYDIA CHURI

Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. William John Maina amefariki dunia jana Februari 21, 2021 saa 1:30 usiku katika Hospitali ya Lugalo jijini Dar es salaam.

Mipango ya mazishi inaendelea nyumbani kwake Oystebay jijini Dar es salaam.

Mahakama ya Tanzania inatoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa na marafiki kufuatia msiba huu.

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE.

 

 

Comments (0)

Leave a Comment