Post Details

MTUMISHI WA MAHAKAMA YA WILAYA YA ILEMELA AFARIKI DUNIA

Published By:LYDIA CHURI

                                                    TANZIA

Mahakama ya Tanzania inasikitika kutangaza kifo cha Mtumishi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilemela Bw. Severine Presha, aliyekuwa Dereva kilichotokea jana Februari 16, 2021.

Mahakama ya Tanzania inatoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa na marafiki kufuatia msiba huu.

                                BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE.

 

Comments (0)

Leave a Comment