Post Details

MTUMISHI WA MAHAKAMA YA WILAYA YA TARIME AFARIKI DUNIA

Published By:LYDIA CHURI

Mahakama ya Tanzania inasikitika kutangaza kifo cha Mtumishi wa Mahakama ya Wilaya ya Tarime, Mrian Marwa Chacha, aliyekuwa Mlinzi Mwandamizi aliyekuwa akifanya kazi katika Mahakama ya Mwanzo Nyamwaga kilichotokea usiku wa kuamkia Februari 13, 2021.

Mahakama ya Tanzania inatoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa na marafiki kufuatia msiba huu.

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE.

Comments (0)

Leave a Comment