Post Details

RAIS MAGUFULI AMUAPISHA JAJI GALEBA KUWA JAJI WA MAHAKAMA YA RUFANI (T)

Published By:Mary C. Gwera

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemuapisha Mhe. Jaji Zephrine Galeba kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani (T). Hafla ya uapisho imefanyika mapema Februari 02 katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma. Kabla ya kuteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani, Mhe.  Galeba alikuwa Jaji wa Mahakama Kuu-Kanda ya Musoma.

Comments (0)

Leave a Comment