Post Details

MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI ATEMBELEA MAONESHO YA WIKI YA SHERIA DODOMA

Published By:Mary C. Gwera

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Prof. Adelardus Kilangi ametembelea Maonesho ya Maadhimisho ya Wiki ya Sheria na miaka 100 ya Mahakama Kuu ya Tanzania, ametembelea mabanda mbalimbali katika Maonesho hayo likiwemo banda la Maadhimisho ya miaka 100 ya Mahakama Kuu ambapo ameonesha kufurahishwa na historia ya Mahakama hiyo kwa kipindi cha miaka 100.

Comments (0)

Leave a Comment