Post Details

KAMISHNA MKUU WA UHAMIAJI NA WANANCHI WENGINEO WATEMBELEA MAONESHO YA WIKI YA SHERIA DODOMA

Published By:Mary C. Gwera

Zifuatazo ni picha mbalimbali za matukio katika Maonesho ya Maadhimisho ya Wiki ya Sheria na miaka 100 ya Mahakama Kuu ya Tanzania yanayoendelea katika Viwanja vya Nyerere ‘Square’ jijini Dodoma.

Maafisa mbalimbali wa Mahakama pamoja na Wadau wa Mahakama wanaoshiriki katika Maonesho hayo wanaendelea kutoa huduma kwa wananchi wanaotembelea katika Mabanda hayo.

Comments (0)

Leave a Comment