Post Details

RATIBA YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU MHE. JAJI (MSTAAFU) HAROLD NSEKELA

Published By:LYDIA CHURI

RATIBA YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU MHE. JAJI (MSTAAFU) HAROLD R. NSEKELA

MAHALI: VIWANJA VYA CHINANGALI-DODOMA

TAREHE: 08.12.2020

 

TAREHE

 

MUDA

 

TUKIO

 

MHUSIKA

 

08/12/2020

 

 

12:00-01:00

ASUBUHI

 

KUANDAA MWILI

 

FAMILIA

 

12:00-02:30

ASUBUHI

 

WAOMBOLEZAJI KUWASILI

 

KAMATI YA ITIFAKI

02:30-03:30

ASUBUHI

VIONGOZI KUWASILI VIWANJA VYA CHINANGALI

KAMATI YA ITIFAKI

03:30-04:00

MWILI NA FAMILIA KUWASILI VIWANJA VYA CHINANGALI

KAMATI YA ITIFAKI

04:00-05:00

ASUBUHI

IBADA

ASKOFU DKT.MANASE B. MARTIN

05:00-05:10

ASUBUHI

WASIFU WA MAREHEMU

KATIBU MKUU

OFISI YA RAIS IKULU

05:10-06:10

ASUBUHI

SALAAM ZA VIONGOZI NA TAASISI

KAMATI YA ITIFAKI

06:10-06:20 MCHANA

SHUKRANI YA FAMILIA

MSEMAJI WA FAMILIA

06:20-07:20

KUAGA MWILI

KAMATI YA ITIFAKI

07:20- MCHANA

MWILI KUONDOKA VIWANJA VYA CHINANGALI

KAMATI YA USAFIRI

 

Comments (0)

Leave a Comment