Post Details

UJENZI WA VITUO JUMUISHI VYA UTOAJI HAKI VYA KINONDONI NA TEMEKE WAENDELEA

Published By:Mary C. Gwera

Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Bw. Mathias Kabunduguru mapema Oktoba mosi walitembelea kukagua ujenzi wa Vituo Jumuishi vya Utoaji haki vinavyojengwa katika Wilaya za Temeke na Kinondoni, kwa mujibu wa Wakandarasi wa Vituo hivyo ujenzi unatarajiwa kukamilika Desemba mwaka huu. Ukamilishwaji wa majengo hayo ambayo yamejumuisha ngazi mbalimbali za Mahakama kuanzia Mahakama ya Mwanzo hadi Rufani pamoja na Wadau wengine wa haki utarahisisha upatikanaji wa haki kwa urahisi wananchi wa maeneo husika.

Comments (0)

Leave a Comment