Post Details

JAJI WA MAHAKAMA YA RUFANI MHE. MMILA AFARIKI DUNIA JIJINI DAR ES SALAAM

Published By:LYDIA CHURI

JAJI WA MAHAKAMA YA RUFANI YA TANZANIA MHE. BETHUEL MMILA AMEFARIKI DUNIA USIKU HUU KATIKA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA

KIKWETE ILIYOPO HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI JIJINI DAR ES SALAAM.

MAREHEMU JAJI MMILA ALIKUWA AKIPATIWA MATIBABU KWENYE HOSPITALI HIYO AMBAPO ALIKUWA AMELAZWA. TAARIFA NYINGINE

KUHUSU MSIBA HUU ZITATOLEWA BAADAYE.

 

 BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE.

Comments (0)

Leave a Comment