Post Details

RAIS MAGUFULI KUZINDUA JENGO LA MAHAKAMA KUU KIGOMA KESHO

Published By:LYDIA CHURI

MAHAKAMA YA TANZANIA INAWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA ITAFANYA UZINDUZI WA JENGO LA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA KANDA YA KIGOMA KESHO SIKU YA JUMAMOSI SEPTEMBA 19, 2020 KUANZIA SAA 5:00 ASUBUHI.

AIDHA, UZINDUZI WA JENGO HILO UTAFANYWA NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI.

MAHAKAMA YA TANZANIA IPO KATIKA MABORESHO YA HUDUMA ZAKE IKIWA NI PAMOJA NA KUJENGA NA KUKARABATI MAJENGO YAKE KWA LENGO LA KUSOGEZA HUDUMA YA UTOAJI HAKI KARIBU ZAIDI NA WANANCHI.

                                           WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA.

                         ‘MAHAKAMA YA TANZANIA, PAMOJA TUNABORESHA HUDUMA’

 

Comments (0)

Leave a Comment