Post Details

UJENZI WA VITUO JUMUISHI VYA UTOAJI HAKI (IJC) NCHINI WASHIKA KASI

Published By:Mary C. Gwera

Pichani ni mionekano ya hatua za ujenzi wa majengo mbalimbali ya vituo jumuishi vya utoaji haki nchini ikiwa ni pamoja na Kinondoni, Morogoro, Arusha na kadhalika.

Lengo la majengo haya ambayo yatajumuisha wadau muhimu wa utoaji haki ni kurahisisha upatikanaji wa haki kwa wananchi.

Comments (0)

Leave a Comment