Post Details

KESI YA PILI YASIKILIZWA KWA NJIA YA 'VIDEO CONFERENCE'

Published By:Mary C. Gwera

Pichani ni 'video conference' ikiendelea kati ya Tanzania na Shahidi aliyepo nchini China, vifaa hivi vya kisasa vimewekwa kwenye Kituo cha Mafunzo, Kisutu jijini Dar es Salaam, Mahakama Kuu-Dar es Salaam, Mahakama Kuu Mbeya nk.

Comments (1)

  • Photo Loading... Hosea Mirambo

    Haya ni mafanikio makubwa katika mhimili wa mahakama Tanzania

    19-02-2019

Leave a Comment