Post Details

MTUMISHI WA MAHAKAMA YA TANZANIA AFARIKI DUNIA

Published By:LYDIA CHURI

MTUMISHI WA MAHAKAMA YA TANZANIA BWN. SALUM RAMADHAN WAZIRI AMEFARIKI DUNIA JUMAPILI MACHI 29, 2020.

BWN. WAZIRI AMBAYE NI DEREVA MWANDAMIZI AMEFARIKI BAADA YA KUUGUA KWA MUDA MREFU.

MAREHEMU WAZIRI ALIZALIWA TAREHE 7/1/1961 MKOANI MOROGORO.

BAADA YA KUPATA ELIMU YAKE, ALIAJIRIWA NA MAHAKAMA YA TANZANIA KAMA DEREVA OKTOBA 22 MWAKA 1981 AMBAPO ALIIFANYA KAZI HIYO MPAKA ALIPOFIKWA NA MAUTI SIKU YA JUMAPILI MACHI 29, 2020.

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU SALUM MAHALI PEMA PEPONI.

 

Comments (1)

  • Photo Loading... Obadia Kaluta kiiza

    Mungu amrehemu,Niko na mahakama ya Tanzania katika sala,sisi tulimpenda lakini mungu kampenda zaidi.Amina.

    03-04-2020

Leave a Comment