Post Details

SEHEMU YA WATENDAJI, WAKURUGENZI NA MAAFISA WAANDAMIZI WA MAHAKAMA WAKIFUATILIA MAZUNGUMZO NA 'WB'

Published By:Mary C. Gwera

Baadhi ya Wajumbe wa Menejimenti ya Mahakama ya Tanzania wakifuatilia kwa umakini majadiliano kati ya Wajumbe wa Mahakama ya Tanzania na Wataalam kutoka Benki ya Dunia yaliofanyika katika Ukumbi wa Kitengo cha Maboresho ya Mahakama 'JDU', mazungumzo hayo yalifanyika Februari 13, 2019.

Comments (0)

Leave a Comment