Post Details

UJUMBE WA BENKI YA DUNIA WAKUTANA NA WAJUMBE WA MENEJIMENTI YA MAHAKAMA

Published By:Mary C. Gwera

Pichani Wataalam wa Benki ya Dunia, wakiwa katika majadiliano na Maafisa Waandamizi wa Mahakama, kutoa tathmini ya utekelezaji wa Mradi wa Maboresho ya huduma za Mahakama unaofadhiliwa na Benki ya Dunia 'WB' baada ya kuhitimisha ziara yao ya tathmini ya maendeleo la Mradi huo unaotekelezwa na Mahakama ya Tanzania.

Comments (0)

Leave a Comment