Post Details

WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA, PROF.KABUDI AZINDUA RASMI JENGO JIPYA LA MAHAKAMA YA WILAYA ILALA

Published By:Mary C. Gwera

Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (pichani) akifunua kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi wa jengo jipya la Mahakama ya Wilaya Ilala lililopo Kinyerezi jijini Dar es Salaam. Aidha, huduma za Mahakama zilizokuwa zikifanyika katika jengo la zamani la Mahakama ya Wilaya Ilala sasa zimehamishiwa katika jengo la kisasa. Hatua hii ni maboresho katika upatikanaji wa miundombinu bora ya majengo ya Mahakama nchini.

Comments (0)

Leave a Comment