Post Details

WAAJIRIWA WAPYA WA MAHAKAMA WAENDELEA KUPIGWA MSASA; WAPATIWA MADA MBALIMBALI

Published By:Mary C. Gwera

MATUKIO KATIKA PICHA; MAFUNZO ELEKEZI KWA WAAJIRIWA WAPYA WA MAHAKAMA YA TANZANIA

Waajiriwa wapya wa Mahakama ya Tanzania wanaendelea kupatiwa mafunzo yakiwa na Mada mbalimbali. Mafunzo hayo yanaendelea kufanyika katika Chuo cha Uongozi wa Mahakama (IJA) Lushoto. Lengo la Mafunzo hayo ni kuwawezesha Watumishi hao kuweza kuifahamu Mahakama pamoja na kujua mbinu mbalimbali zitakazowawezesha kufanya kazi ipasavyo.

Comments (0)

Leave a Comment