Post Details

JAJI MKUU AWAAPISHA MAHAKIMU WAKAZI NA KUKABIDHI NYENZO ZA KAZI

Published By:Mary C. Gwera

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe.Prof. Ibrahim Hamis Juma akimkabidhi nyenzo za kazi ‘instruments’ kwa Mhe. Godfrey Isaya za kuwa Hakimu Mkazi Mfawidhi, Mahakama ya Hakimu Mkazi-Kisutu. Hafla fupi ya kukabidhiwa nyenzo za kazi pamoja na kuapishwa Mahakimu Wakazi imefanyika katika Ukumbi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Arusha Desemba 03, 2019. Aidha Mhe. Jaji Mkuu ameaapisha pia Mahakimu wakazi wapya.

Amewataka kuviishi viapo vyapo na kujiepusha na vitendo vya rushwa na vilevile kutoka haki kwa wananchi kwa wakati.

Comments (0)

Leave a Comment