Post Details

KAMATI ZA KUMSHAURI JAJI MKUU ZAKUTANA NA MHE. JAJI MKUU

Published By:Mary C. Gwera

Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof Ibrahim Hamis Juma (kushoto) akizungumza jambo  wakati wa kikao cha Kamati za Kumshauri Jaji Mkuu kilichofanyika Novemba 18,mwaka huu katika ukumbi wa mikutano wa Benki Kuu ya Tanazania (BOT), jijini Dar es Salaam. Kulia kwake ni Katibu wa Kikao hicho, ambaye pia ni Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Mhe. Mussa Kipenka. Kikao hicho kimehudhuriwa na Wajumbe mbalimbali wa Kamati hizo Wahe. Majaji pamoja na Mtendaji Mkuu wa Mahakama.

Comments (0)

Leave a Comment