Post Details

KATIBU MPYA WA TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA AAPISHWA

Published By:Mary C. Gwera

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma leo Novemba 16, amemuapisha Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Bw. Mathias Kabunduguru kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Mahakama, hafla hiyo fupi ya uapisho imefanyika Mahakama ya Rufani jijini Dar es Salaam.

Bw. Kabunduguru anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Hussein Kattanga ambaye aliteuliwa na Mhe. Rais kuwa Balozi.

Comments (1)

  • Photo Loading... Hamis

    Hongera sana CJ kwa kupata katibu mpya tume ilichakaa bila shaka hata wajumbe sasa wapo wapya wa zamani waliichakaza tume hongera katibu mteule chapa kazi hapo tume utakuta barua za malalamiko yetu zifanyie kazi tenda haki kwani bw katanga alituumiza sana bila sababu pia sheria ya uendeshaji mahakama ifanyieni marekebisho itoe nafasi ya rufaa kwa mtu asiye ridhika na maamuzi ya tume

    30-11-2019

Leave a Comment