Post Details

JENGO LA MAHAKAMA KUU MUSOMA LILILOPO KATIKA HATUA ZA MWISHO ZA UJENZI

Published By:JoT Admin

Wakazi wa Mkoa wa Mara wapo mbioni kupata huduma ya Mahakama Kuu, baada ya ujenzi wa jengo la Mahakama Kuu likiwa katika hatua za mwisho, hatua hii itawapunguzia usumbufu wa kusafiri kwenda mkoani Mwanza kufuata huduma ya Mahakama Kuu.

Comments (1)

  • Photo Loading... Paul Robart

    Iyo itatusaidia Sana wakazi wa mkoa wa Mara

    04-02-2019

Leave a Comment