Post Details

MTENDAJI MKUU WA MAHAKAMA AKAGUA MIRADI YA UJENZI -MAHAKAMA LINDI

Published By:Mary C. Gwera

Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Bw. Hussein Kattanga (kulia) akijadiliana jambo na Mkuu wa Kitengo cha Ujenzi-Mahakama ya Tanzania, Bw. Khamadu Kitunzi (kushoto) pamoja na Mtaalam kutoka Wizara ya Ardhi, Dkt. Daniel Mbisso (katikati).Mtendaji Mkuu alifanya ziara ya kutembelea miradi ya ujenzi wa mnamo Septemba 23 na 24, ambapo alikagua kiwanja cha Mahakama, zikiwemo Mahakama mbili za Wilaya, ambazo ni  Mahakama ya Wilaya ya  Kilwa na Mahakama ya Wilaya ya  Ruangwa ili kuangalia hatua iliyofikiwa .

Comments (1)

  • Photo Loading... Gabriel Joseph

    Habari, mnategemea kuita watu kazini lini kwa zile nafasi za kazi zilizotangazwa February na usaili ulifanyika August mwaka huu? Asante

    28-09-2019

Leave a Comment