Post Details

MAHAKAMA KUU DODOMA YATOA ELIMU KWA WATEJA

Published By:Mary C. Gwera

Pichani ni baadhi ya Wateja waliofika katika eneo la Mahakama Kuu Dodoma mapema Septemba 10 kwa ajili ya kupata huduma, wakipatiwa elimu ya Sheria kwanza na Maafisa wa Mahakama katika Kanda hiyo. Huu ni utaratibu wa Mahakama nchini kutoa elimu angalau kwa siku moja kila wiki kwa wananchi wanaofika kupata huduma lengo ni kuwajengea elimu Wananchi kuhusu sheria na taratibu mbalimbali za Kimahakama.

Comments (0)

Leave a Comment