Post Details

MUONEKANO WA JENGO LA MAHAKAMA KUU KANDA YA KIGOMA LINALOPO KATIKA HATUA ZA MWISHO ZA UJENZI

Published By:JoT Admin

Pichani ni jengo la Mahakama Kuu, Kanda ya Kigoma linaloendelea kujengwa, mkoa wa Kigoma pamoja na Mkoa wa Mara hivi karibuni watakuwa na huduma za Mahakama Kuu baada ya majengo yanayojengwa kwa sasa kukamilika. Kukamilika kwa Mahakama hizi kutaongeza idadi ya Kanda za Mahakama Kuu kutoka 14 hadi 16.

Comments (0)

Leave a Comment