Post Details

RAIS MAGUFULI AMWAPISHA WAZIRI WA KATIBA NA VIONGOZI WENGINE WA SERIKALI

Published By:Mary C. Gwera

Pichani ni Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli  (katikati), Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma (wa kwanza kushoto), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa (wa pili kushoto), Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Job Ndugai (wa pili kulia) pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi, Eng. John Kijazi wakiwa katika picha ya pamoja na Wahe. Mawaziri, Balozi na Makamishna wa Jeshi la Polisi walioapishwa mapema Machi 04, 2019.

Comments (0)

Leave a Comment