Home / News / Wataalamu wa Benki ya Dunia watembelea Ujenzi wa Mahakama ya Mwanzo Kigamboni

Wataalamu wa Benki ya Dunia watembelea Ujenzi wa Mahakama ya Mwanzo Kigamboni

12

Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Bw. Hussein Kattanga (kulia) akizungumzia kuhusu ujenzi wa mfano wa majengo ya Mahakama wa kutumia teknolojia yenye gharama nafuu ijulikanayo kwa jina la Moladi kwa Mtaalamu kutoka Benki ya Dunia(WB),Waleed Haider Malik(wa pili kushoto) na Mratibu wa Programu za Benki ya Dunia katika nchi za Burundi, Malawi, Somalia na Tanzania, Preeti Arora,(wa pili kulia) wakati wataalamu hao walipotembelea leo Mahakama ya Mwanzo Kigamboni iliyopo jijini Dares Salaam.Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Maboresho Mahakama ya Tanzania, Mhe. Zahra Maruma.

33

Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Bw. Hussein Kattanga (kulia) akizungumzia kuhusu ujenzi wa mfano wa majengo ya Mahakama wa kutumia teknolojia yenye gharama nafuu ijulikanayo kwa jina la Moladi kwa Mtaalamu kutoka Benki ya Dunia(WB),Waleed Haider Malik( katikati) na Mratibu wa Programu za Benki ya Dunia katika nchi za Burundi, Malawi, Somalia na Tanzania, Preeti Arora, (wa pili kulia )wakati wataalamu hao walipotembelea leo Mahakama ya Mwanzo Kigamboni iliyopo jijini Dares Salaam.Kushoto wa pili ni Mkuu wa Kitengo cha Maboresho Mahakama ya Tanzania, Mhe. Zahra Maruma na kushoto ni Mhandisi Martin Frimos.

22

Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Bw. Hussein Kattanga (kulia) akizungumzia kuhusu ujenzi wa mfano wa majengo ya Mahakama wa kutumia teknolojia yenye gharama nafuu ijulikanayo kwa jina la Moladi kwa Mtaalamu kutoka Benki ya Dunia(WB),Waleed Haider Malik( katikati) na Mratibu wa Programu za Benki ya Dunia katika nchi za Burundi, Malawi, Somalia na Tanzania, Preeti Arora,(wa pili kulia) wakati wataalamu hao walipotembelea leo Mahakama ya Mwanzo Kigamboni iliyopo jijini Dares Salaam.Kushoto wa pili ni Mkuu wa Kitengo cha Maboresho Mahakama ya Tanzania, Mhe. Zahra Maruma (kushoto) ni Mhandisi Martin Frimos