Home / Events Photos / Toeni huduma bila kujikweza au kujitukuza

Toeni huduma bila kujikweza au kujitukuza

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akifungua kikao kazi cha Watendaji na Wataalamu wa Mahakama kutathmini Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Miaka Mitano (2015/16- 2019/20) na Utekelezaji wa Mradi wa Maboresho ya Utoaji huduma za Mahakama kinachofanyika mjini Arusha.

Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe.Hussein Kattanga akizungumzia kuhusu Mpango Mkakati wa Miaka Mitano (2015/16- 2019/20) na Utekelezaji wa Mradi wa Maboresho ya Utoaji huduma za Mahakama kinachofanyika mjini Arusha wakati wa kikao kazi cha Watendaji na Wataalamu wa Mahakama cha kutathmini utekelezaji wa mpango huo.

Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe.Hussein Kattanga na Mtendaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Mhe. Solanus Nyimbi wakifuatilia jambo katika kikao kazi cha Watendaji na Wataalamu wa Mahakama kutathmini Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Miaka Mitano (2015/16- 2019/20) na Utekelezaji wa Mradi wa Maboresho ya Utoaji huduma za Mahakama kinachofanyika mjini Arusha.

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma (wa pili kulia ) akiwa na viongozi wengine mahakama katika kikao kazi cha Watendaji na Wataalamu wa Mahakama kutathmini Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Miaka Mitano (2015/16- 2019/20) na Utekelezaji wa Mradi wa Maboresho ya Utoaji huduma za Mahakama.

Mkuu wa kitengo cha Usimamizi wa Mradi wa Maboresho ya Mahakama ya Tanzania, Mhe. Zahra Maruma akifafanua Jambo katika kikao kazi hicho.

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi na watumishi wa Mahakama mara baada ya kufungua kikao kazi cha Watendaji na Wataalamu wa Mahakama kutathmini Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Miaka Mitano (2015/16- 2019/20) na Utekelezaji wa Mradi wa Maboresho ya Utoaji huduma za Mahakama.

Baadhi ya wajumbe wakiwa katika kikao kazi cha Watendaji na Wataalamu wa Mahakama kutathmini Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Miaka Mitano (2015/16- 2019/20) na Utekelezaji wa Mradi wa Maboresho ya Utoaji huduma za Mahakama.

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma(kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe.Hussein Kattanga(katikati), kulia ni Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Katarina Revokati.

Msajili wa Mahakama Kuu, Mhe. Ilvin Mugeta akifafanua jambo katika kikao kazi hicho.

Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu,Edward Nkembo (kulia) na Mkurungezi wa Mipango na Ufuatiliaji, Mathias Mwang’u w akifuatilia kikao hicho.