Home / Job / TANGAZO: YAH: KURIPOTI KAZINI

TANGAZO: YAH: KURIPOTI KAZINI

 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

MAHAKAMA YA TANZANIA

TANGAZO KWA UMMA

KURIPOTI KAZINI – MAHAKIMU

 Mahakama ya Tanzania inapenda kuwaarifu kuwa, Mahakimu Wakazi wote waliotakiwa kuripoti kazini kuanzia tarehe 13/07/2018 wanatakiwa kuripoti kwa Msajili wa Mahakama Kuu ya Tanzania – Dar es Salaam tarehe 27/07/2018 siku ya Ijumaa saa mbili kamili asubuhi kwa ajili ya kuapishwa. Aidha, Tangazo hili pia linapatikana kwenye tovuti zifuatazo:-

i.Tovuti ya Mahakama ya Tanzania-www.judiciary.go.tz

ii.   Tovuti ya Wizara ya Katiba na Sheria.

 Imetolewa na:-

Mtendaji Mkuu wa Mahakama,

Mahakama ya Tanzania,

26 Barabara ya Kivukoni,

S.L.P. 9004,

11409 DAR ES SALAAM.