Home / Latest News / TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI, MADALALI WA MAHAKAMA 12-13, SEPTEMBA, 2018

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI, MADALALI WA MAHAKAMA 12-13, SEPTEMBA, 2018

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAMAHAKAMA

   TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

Msajili wa Mahakama Kuu ya Tanzania ambaye ni Katibu wa Kamati ya Uteuzi na Nidhamu ya Madalali wa Mahakama na Wasambaza Nyaraka za Mahakama kwa niaba ya Kamati ya Uteuzi na Nidhamu ya Madalali wa Mahakama na Wasambaza Nyaraka za Mahakama anawatangazia Waombaji kazi wafuatao walioomba kazi ya Udalali wa Mahakama na Usambazaji Nyaraka za Mahakama kufuatia tangazo lililotolewa tarehe 20/08/2018 kuwa wamechaguliwa kufanya usaili utakaofanyika siku ya Jumatano na Alhamisi tarehe 12-13 Septemba, 2018 saa 2:00 asubuhi katika Ofisi ya JAJI KIONGOZI, Mahakama Kuu, Dar es Salaam:-

  1. WAOMBAJI WA NAFASI YA KAZI YA UDALALI WA MAHAKAMA NA MIKOA WALIYOOMBEA KUFANYIA KAZI
S/N JINA MKOA
1 NEWTON GIDION MAKWALE KILIMANJARO
2 BONIFACE KAMUGISHA BUBERWA ARUSHA
3 PIUS TIMOTH MKUNDI PWANI
4 HILLARY SANDE LIGATE DAR ES SLAAM
5 KASMIRY MWABENA NJOMBE
6 IBRAHIM MAULID MSOLOPA PWANI
7 ELIEZA NICODEMUS MBWAMBO DAR ES SALAAM
8 PROCHES AUGUST MOSHI ARUSHA
9 MBOGO ALLY MASUDI DAR ES SALAAM
10 HAMIS ABDUL MWALUGAJE TANGA
11 JIMMY CLIFORD MABONDO MWANZA
12 IBRAHIM TITO KIVIKE DODOMA
13 SCHOLASTIKA CHRISTIAN KEVELA DODOMA
14 JULIUS MSHUZA SINGANO TANGA
15 AZATH JUMA SIMBA KAGERA
16 NG’WANDU JOSEPH TENGA GEITA
17 AGREY SLANLEY KEVELA LINDI
18 DIXON MAHUMBI KITIMA DAR ES SALAAM
19 RAMADHAN A. SWALEHE DAR ES SALAAM
20 JEREMIA M. MTAGWA MANYARA
21 HAMIS BABU BALLY DAR ES SALAAM
22 REMIGIUS KAROLI KAGERA
23 THECKLA MKUMBO DAR ES SALAAM
24 ENOCK LUCAS LUKUMBO DODOMA
25 JESCA WILFRED LOCKEN DAR ES SALAAM
26 SHUKURU JAFARI DAR ES SALAAM
27 MWANGAZA HUSSEIN PWANI
28 LYASUKA SWALEHE IBRAHIM MWANZA
29 BERNARD H. KUWETA DAR ES SALAAM
  1. WAOMBAJI WA NAFASI YA KAZI YA USAMBAZAJI NYARAKA ZA MAHAKAMA NA MIKOA WALIYOOMBEA KUFANYIA KAZI
S/N JINA MKOA
1 JOSEPH B. MKAKANZE MWANZA
2 ABDULAZIZ OMARI MBAGHA DAR ES SALAAM
3 HILLARY SANDE LIGATE DAR ES SLAAM
4 HENRY JOHN MLANG’A TANGA
5 IBRAHIM MAULID MSOLOPA PWANI
6 ELIEZA NICODEMUS MBWAMBO DAR ES SALAAM
7 MBAGIRA PHABIAN DAR ES SALAAM
8 MBOGO ALLY MASUDI DAR ES SALAAM
9 HAMIS ABDUL MWALUGAJE TANGA
10 SHANI SAID UWEJE DAR ES SALAAM
11 IBRAHIM TITO KIVIKE DODOMA
12 SCHOLASTIKA CHRISTIAN KEVELA DODOMA
13 FELISIA E. UROKI ARUSHA
14 PAULO CARIOS MTOVE MBEYA
15 PENDO M. MAGOGO DAR ES SALAAM
16 AGREY SLANLEY KEVELA LINDI
17 ABDULAZIZ Y. KIRAMA DAR ES SALAAM
18 RAMADHAN A. SWALEHE DAR ES SALAAM
19 FATMA NYAHORI DAR ES SALAAM
20 THECKLA MKUMBO DAR ES SALAAM
21 ENOCK LUCAS LUKUMBO DODOMA
22 JESCA WILFRED LOCKEN DAR ES SALAAM
23 LYASUKA SWALEHE IBRAHIM MWANZA
24 FREDRICK E. BIGAMBO ARUSHA
  1. MAELEKEZO MUHIMU

Wasailiwa wote wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

  • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.

Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na: Kitambulisho cha Mpigakura, Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria;

  • Wasailiwa wanatakiwa kufika na vyeti vyao halisi, kuanzia Cheti cha kuzaliwa, Cheti cha kidato cha Nne na kuendelea kutegemeana na sifa za mwombaji na Cheti cha Umahiri cha Udalali wa Mahakama au Usambazaji Nyaraka za Mahakama;
  • Kila Msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi kwa kuzingatia mahali anapotoka;
  • Kila Msailiwa anatakiwa kuwahi katika Usaili kwa kuzingatia mahali na muda uliopangwa;
  • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa.

Imetolewa na:-

M.J. Chaba

Kny: MSAJILI

MAHAKAMA KUU YA TANZANIA