Home / Events Photos / SERIKALI YASHAURIWA KUISHIRIKISHA MAHAKAMA KWENYE UANZISHWAJI WA MIKOA NA WILAYA

SERIKALI YASHAURIWA KUISHIRIKISHA MAHAKAMA KWENYE UANZISHWAJI WA MIKOA NA WILAYA

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma (wa tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Wakandarasi wa Kampuni ya Masasi Construction Ltd wanaojenga jengo la Mahakama Kuu ya Kanda ya Kigoma kwenye eneo la ujenzi wa Mahakama hiyo. Wa tatu Kushoto ni Mtendaji wa Mahakama ya Rufani ya Tanzania, Solanus Nyimbi.

Jengo la Mahakama Kuu ya Kanda ya Kigoma kama linavyoonekana likiwa limefikia hatua hiyo. Jengo hili linatarajiwa kukamilika Aprili, 2019.