Home / Events Photos / OPARESHENI ZA KUZUIA UHALIFU ZATAKIWA KUZINGATIA SHERIA:JAJI MKUU

OPARESHENI ZA KUZUIA UHALIFU ZATAKIWA KUZINGATIA SHERIA:JAJI MKUU

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akisalimiana na watumishi wa Mahakama ya wilaya ya Urambo mara baada ya kuwasili.

Afisa Utumishi wa Mahakama ya Tanzania, Anatory Kagaruki akitoa ufafanuzi juu ya masuala mbalimbali kwa watumishi wa Mahakama ya wilaya ya Urambo akiwa katika ziara ya Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma inayoendelea katika kanda ya Tabora.

 

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma (katikati) akizungumza na Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Tabora Mhe. Sam Rumanyika pamoja na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya wilaya ya Urambo Mhe. Hassan Momba (kushoto).

Mkuu wa Wilaya ya Urambo, Angelina Kwingwa akizungumza wakati alipotembelewa na Jaji Mkuu wa Tanzania ofisini kwake.