Home / News / Mhe. Revocatti kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani (T)

Mhe. Revocatti kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani (T)

RevocatiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemwapisha Mhe. Katarina Revocatti kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani (T), Mhe.

Revocatti anashika nafasi ya Mhe. Panterine Kente baada ya Kuteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu. Kabla ya uteuzi wake Mhe. Revocatti alikuwa Msajili wa Mahakama Kuu Divisheni ya Biashara.