Home / Public Notes / MAKALA YA GAZETI LA MWANANCHI YA TAREHE 21-07-2015 YENYE KICHWA CHA HABARI “MTANDAO WA RUSHWA MAHAKAMANI HUU HAPA”

MAKALA YA GAZETI LA MWANANCHI YA TAREHE 21-07-2015 YENYE KICHWA CHA HABARI “MTANDAO WA RUSHWA MAHAKAMANI HUU HAPA”

Mahakama ya Tanzania inatambua nafasi ya vyombo vya habari katika kuwafikishia wananchi habari na kuwaelimisha. Vile vile tunatambua nafasi ya kipekee ya vyombo vya habari katika kukosoa utendaji wa taasisi za umma na binafsi. Kwa kutambua hilo Mahakama imeunda jukwaa la mahakama na vyombo vya habari (Judiciary- Media forum)

TAARIFA KWA UMMA (MWANANCHI NEWSPAPER)