ja_mageia

Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA ) kwa kushirikiana na wadau wengine

yazindua mtandao wa kupambana na kuzuia rushwa ya ngono(coalition against sextortion)

katika viwanja vya leaders club siku ya jumamosi tarehe 29 Novemba 2014. Mgeni rasmi

katika uzinduzi huo alikuwa Mhe Mama Asha Bilal. Ujumbe wa kampeni hii ni "Vunja ukimya

rushwa ya ngono inadhalilisha na inaua (break the silence sextortion

humiliates and kills)"

 

Wadau wakifuatilia matukio mbali mbali.

  • Narrow screen resolution
  • Wide screen resolution
  • Decrease font size
  • Default font size
  • Increase font size
Home Other Links Local Links Chuo cha Uongozi wa Mahakama