Home / Forum

Forum

Jaji wa Mahakama ya Rufani (T), Mhe. Engera Kileo aagwa Rasmi kitaaluma baada ya kustaafu  

  RSS

admin
Active Member
Joined: 3 years  ago
Posts: 13
28/09/2016 3:39 pm  

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman, akiwa katika picha ya pamoja na Majaji wa Mahakama ya Rufani walioshiriki kumuaga Kitaaluma Jaji mwenzao, Mhe. Engera Kileo, baada ya kustaafu, katika neno lake la shukrani, Mhe. Kileo amewataka Majaji wenzake kutoa haki kwa wananchi bila upendeleo kwa kuangalia haki ya msingi kuliko ufundi wa kisheria.

BARABARA YA KIVUKONI FRONT
Address: S.L.P. 9004
E-mail: info@judiciary.go.tz
Telephone: +255 22 2116654 / 2111586-90
Fax: +255 22 2116654
Website: www.judiciary.go.tz


ReplyQuote
James Michael
New Member
Joined: 1 year  ago
Posts: 4
30/09/2016 9:22 am  

Hongera sana Jaji Mstaafu Kileo kwa utumishi wako. Mungu akulinde na kukuongezea maisha marefu. Nini cha kufanya kwa Watumishi wengine hasa Majaji? Majaji kutoa haki kwa wananchi bila upendeleo kwa kuangalia haki ya msingi kuliko ufundi wa kisheria.


ReplyQuote
meshack ndola
New Member
Joined: 10 months  ago
Posts: 1
01/01/2017 8:04 pm  

Safi sana mungu abariki kazi za viongozi wetu  tuko pamoja

M.z.ndola


yonas liked
ReplyQuote
buganojr
New Member
Joined: 12 months  ago
Posts: 1
15/02/2017 11:59 am  

kapumzike kwa amani mama!


yonas liked
ReplyQuote
DEOGRATIUS GODFREY MTONDO
New Member
Joined: 8 months  ago
Posts: 1
04/03/2017 2:23 pm  

Kwa heri,tutaendelea kujifunza kutoka katika hukumu zako


ReplyQuote
kinywafu
New Member
Joined: 7 months  ago
Posts: 1
21/03/2017 1:21 pm  

all the best mama yetu. Hongera kwa kazi nzuri


ReplyQuote
yonas
New Member
Joined: 4 months  ago
Posts: 1
24/06/2017 2:43 am  

i appreciate your reasoning and arguments towards decision making our retired honourable J

y.j


ReplyQuote
Deo But
New Member
Joined: 2 months  ago
Posts: 1
10/08/2017 12:52 pm  

wish all the best of lucky for serving the country


ReplyQuote
babuu
New Member
Joined: 1 month  ago
Posts: 1
02/09/2017 10:56 am  

Mungu ibariki Tanzania, mungu wabariki majaji wetu

H. J. Chuka


ReplyQuote
  
Working

Please Login or Register