Home / News (Page 5)

 • MAHAKIMU WAPYA WAFUNDWA

  Na Magreth Kinabo  Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Katarina Revocati amewataka  Mahakimu  walioajiriwa hivi karibuni kujiepusha na vitendo vya rushwa Kauli hiyo imetolewa leo na Msajili huyo  wakati akifungua  mafunzo  elekezi  kwa Mahakimu hao  […]

   
 • MAJAJI WAWILI WAAGWA KITAALUMA BAADA YA KUSTAAFU RASMI

  MAJAJI  na Mahakimu wameshauriwa kuzingatia sheria  katika utoaji haki na wafuate miiko ya kazi zao na kuhakikisha hawafanyi wanayoyataka wao. Ushauri huo ulitolewa mapema Julai 27, jijini Dar es Salaam na Jaji Mstaafu wa Mahakama […]

   
 • MAHAKAMA NA TLS KUENDELEZA USHIRIKIANO

  Na Magreth Kinabo Msajili Mkuu, Mahakama ya Tanzania, Mhe. Katarina Revocati  amesema   kuwa Mahakama itaendelea  kutoa ushirikiano  kwa  Chama  cha Wanasheria Tanganyika (TLS) katika  masuala  ya utendaji  kazi kwa kuwa vyombo hivyo vinafanya kazi kwa  […]

   
 • MAHAKAMA YAWAJENGEA UWEZO WATUMISHI WAKE KUHUSU MASUALA YA HABARI

  Na Lydia Churi-Dodoma Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dodoma Mhe. Mohamed Awadh leo amefungua Mafunzo ya kuwajengea uwezo wawakilishi wa habari wa Mahakama walioko kwenye kanda za Mahakama Kuu na Mahakama za […]

   
 • TANGAZO: YAH: NAFASI ZA KAZI YA UDALALI

  TANGAZO: YAH: NAFASI ZA KAZI YA UDALALI

  JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAMAHAKAMA TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Mahakama ya Tanzania inapenda kuutangazia umma kwamba kuna nafasi za kazi za Madalali wa Mahakama na Wasambaza Nyaraka za Mahakama watakaofanya kazi katika Mikoa mbalimbali […]

   
 • TANGAZO: KUITWA KWENYE USAILI

  TANGAZO: KUITWA KWENYE USAILI

  JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA TANGAZO KWA UMMA KUITWA KWENYE USAILI Tume ya  Utumishi  wa Mahakama inawatangazia wafuatao hapa chini walioomba kazi kwa kada mbalimbali kuwa wameteuliwa kuhudhuria usaili  wa  […]

   
 • WAANDISHI WA HABARI ZA MAHAKAMA WAFANYA MAFUNZO KWA VITENDO MKOANI MOROGORO

  Waandishi wa habari za Mahakama wamefanya mafunzo kwa vitendo katika Mahakama za Mkoa wa Morogoro ili kuona namna Mahakama hizo zinavyotekeleza majukumu yake ya kila siku. Lengo la mafunzo hayo ni kuhakikisha wadau wa mahakama […]

   
 • ATT: NEW LIST OF PETITIONERS TO APPEAR BEFORE HON. CHIEF JUSTICE

  NEW LIST OF PETITIONERS TO APPEAR BEFORE HON. CJ ON 17TH JULY 2018