Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Dodoma Mheshimiwa Mwanaisha Kwariko (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi mbalimbali wa Mahakama ya Tanzania wakati wa Mkutano wa Mahakama ya Tanzania na wadau wake kuhusu Mpango Mkakati mjini Dodoma. Jaji Mkuu wa  Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman (wa pili kushoto) akisisitiza jambo katika Mkutano pamoja na Wahe. Majaji Wastaafu wa Mahakama ya Tanzania. Aliyeketi kulia kwa Mhe. Jaji Mkuu ni Mhe. Thomas Mihayo, Rais wa Chama cha Majaji Wastaafu, kulia kwa Jaji Mihayo ni, Mhe. Hussein Kattanga, Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania. Katika Mkutano huo masuala kadhaa yenye lengo la kuboresho ustawi wa Mahakama yalijadiliwa. Jaji Kiongozi Mhe. Ferdinand Wambali akizungumza na Watumishi wa   Mahakama ya Ardhi, kulia ni Jaji Mfawidhi Mhe. Gad Mjemmas. Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othuman akipokelewa na Waziri wa Viwanda, Biashara, Masoko na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage  mara baada ya kuwasili katika  Maonyesho ya 4o ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwl. J.K. Nyerere. Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman (wa nne kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Majaji wakati wa sherehe za kuwakubali na kuwaapisha Mawakili katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.
 

The United Republic of Tanzania (URT) was born on the 26th April, 1964 when the Republic of Tanganyika and the Peoples Republic of Zanzibar united and formed a single country in the name of Tanzania.
The Administration of Justice in Tanzania is an exclusive constitutional mandate of the Judiciary of Tanzania (JOT) vide articles 4, 107A and 107B of the Constitution of the United Republic of Tanzania 1977, Cap. 2 of the Laws. Its history can be traced back to the pre-colonial era, which said history developed gradually depending on the political and economic organization of the society… Read More
 

Event Photos