Mtendaji Mkuu, Mahakama ya Tanzania, Mhe. Hussein Kattanga (katikati) akimuonesha kitu Msajili Mkuu, Mahakama ya Tanzania, Mhe. Katarina Revokati (kulia) walipokuwa wakisaini Mikataba ya kazi ya utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Taasisi, kushoto ni Msajili-Mahakama ya Rufani (T), Mhe. John Kahyoza. Mtendaji Mkuu, Mahakama ya Tanzania, Mhe. Hussein Kattanga (katikati) akimkabidhi Mkataba wa kazi Msajili-Mahakama ya Rufani, Mhe. John Kahyoza (kushoto), anayeshuhudia ni Msajili Mkuu, Mahakama ya Tanzania, Mhe. Katarina Revokati Msajili-Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Ilvin Mugeta akikabidhiwa Mkataba wa kazi na Mtendaji Mkuu pamoja na Msajili Mkuu  Mahakama ya Tanzania. Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu akipokea Mkataba wa Kazi kutoka kwa Mtendaji Mkuu na Msajili Mkuu. Mkurugenzi Msaidizi, Ukaguzi, Maadili na Malalamiko, Mhe. Happiness Ndesamburo akionesha Mkataba wa kazi aliokabidhiwa kwa ajili ya utekelezaji. katikati ni Mtendaji Mkuu, Mahakama ya Tanzania, Mhe. Hussein Kattanga, na kulia ni Msajili Mkuu, Mahakama ya Tanzania, Mhe. Katarina Revokati. Mtendaji Mkuu na Msajili Mkuu wakimkabidhi Mkataba wa Kazi, Mkuu wa Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano-Mahakama. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufuli   akisalimiana na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Ferdinand Wambali mara baada ya kuwasili  kwenye viwanja vya Mahakama vya Chimala jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho  ya siku ya Sheria nchini. Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Juma, akiwasili katika viwanja vya Chimala kwa ajili ya  Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Sheria jijini Dar es salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Sheria jijini Dar es salaam.
Baadhi ya wageni waalikwa  wakiwa kwenye Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Sheria  jijini Dar es salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufuli akiwa katikapicha ya pamoja na Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Juma (katikati) na Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Harrison Mwakyembe (wa pili (kushoto) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Sheria jijini Dar es salaam. Wengine ni baadhi ya waheshimiwa majaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania.
 

The United Republic of Tanzania (URT) was born on the 26th April, 1964 when the Republic of Tanganyika and the Peoples Republic of Zanzibar united and formed a single country in the name of Tanzania.
The Administration of Justice in Tanzania is an exclusive constitutional mandate of the Judiciary of Tanzania (JOT) vide articles 4, 107A and 107B of the Constitution of the United Republic of Tanzania 1977, Cap. 2 of the Laws. Its history can be traced back to the pre-colonial era, which said history developed gradually depending on the political and economic organization of the society… Read More
 

Event Photos