Makamu wa Rais Afungua Mkutano wa TAWJA

Makamu  wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewaagiza  Majaji wanawake  na Mahakimu  wa Wanawake nchini kuendelea kutoa elimu na ujuzi  juu ya haki  za binadamu ili kuwezesha jamii kuepukana na  […]