Mafunzo ya Huduma kwa Wateja kwa Watumishi wa Mahakama ya Tanzania yaendelea kwa awamu ya pili
Mafunzo maalumu ya siku mbili yahusuyo huduma kwa wateja na haki ya kupata taarifa kwa watumishi wa Mahakama, yameanza leo katika hoteli ya Flomi mkoani Morogoro ikiwa ni muendelezo wa mafunzo yaliyozinduliwa mwaka jana na […]